Neema Gospel Choir - Umenipendelea (Live Music Video)
“Umenipendelea” ni wimbo wa shukurani na sifa, unaotambua upendeleo wa Mungu katika maisha yetu. Ni ushuhuda wa wazi kwamba tulipo leo si kwa juhudi zetu, bali ni kwa neema na fadhili za Bwana. Katika kila hatua ya maisha — wakati wa majaribu, kusubiri, ushindi na urejesho — Mungu amekuwa mwaminifu. Wimbo huu unatukumbusha kwamba rehema za Mungu zimeongea zaidi ya udhaifu wetu, na mkono Wake umetuinua pale tuliposhindwa kuendelea. Huu ni wimbo wa kumshukuru Mungu kwa yote aliyotenda katika maisha yetu. Ni tamko kwamba kila jambo jema katika maisha yetu ni upendeleo kutoka kwa Mungu. “Hakika fadhili na rehema zitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.” — Zaburi 23:6 ---------- CREDITS: Song Performance: Composer: Godwin Mlambo Leader: Godwin Mlambo Band: Neema Gospel Choir Horns Section: JTL hrons 🇿🇦 Production: Overall Production Management: VICTORIOUS PRODUCTION 🇹🇿 Production Manager: Titus Alfred 🇹🇿 Video Director: Johnson Amigo 🇹🇿 Video Production: VICTORIOUS PRODUCTION 🇹🇿 Audio Production: VICTORIOUS PRODUCTION 🇹🇿 Audio Producer: Fredrick Japhet Kilago (Masanja) 🇹🇿 Audio Co-Producer: Quillian Japhet Kilago 🇹🇿 Audio Capturing: Samuel Mboya 🇹🇿 Sound, Stage, Lights, and Backline by: ABE PROFESSIONAL SOUND Sound Engineer (FOH); Amish 🇬🇧 Sound Engineers (Monitor): Jackson Odindo 🇰🇪 Radio Frequency Engineer: Emmanuel Manu (Badman Production) 🇰🇪 Lights Engineer: Jimmy 🇰🇪 Screen Virtual Engineer: Eugene LeGrande 🇰🇪 Stage Decor: Simply Events 🇹🇿 Live Stage Production Manager - Samuel Gachiri 🇰🇪 Stage Manager - Angie Kabura 🇰🇪 Floor Manager - Derek Mwangi 🇰🇪 #neemagospelchoir #gospelmusic #umenipendelea ---------- 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦: Instagram: https://www.instagram.com/neemagospelchoirtz/ Facebook: https://www.facebook.com/neemagospel/ X: https://x.com/NeemaGospelChor/ Threads: https://www.threads.net/@neemagos
Title overview
Core release details, quality markers, and stream status stay together here instead of floating below the fold.
سال
2026
دورانیہ
13m
IMDb
7.3
کاسٹ
Neema Gospel Choir
Singer
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتا ہے
Rani Rastaciti - Illicit (Official Video)
پاپ
Ciara, Diamond Platnumz - Low (Official Music Video)
پاپ
Skillibeng - Ivany (Official Audio)
پاپ
Vybz Kartel - Colouring This Life
پاپ
Fally Ipupa - Doucement ft. @JoéDwètFilé (Clip officiel)
پاپ
Pray for Me - A Song for Hard Times | Sunvera Scott
پاپ
Joel Lwaga x Diamond Platnumz - Nikumbuke (Official Video)
پاپ
Harmonize Ft Jay Melody - Imeshindikana (Official Visualizer)
پاپ
Zuchu - Amanda (Visualizer)
پاپ
TOXIC LYRIKALI - BACKBENCHER (Official Video)
پاپ
Karibu Yesu Karibu Moyo wangu upone | Deep Swahili Worship By Minister James
پاپ
C9 - DARK AGAIN (COUNTREEHYPE)
پاپ
Rihanna | Megamix [2022]
پاپ
Mbosso - Pawa (Official Lyric Video)
پاپ
Vybz Kartel - Ignite The World (Official Music Video)
پاپ
Fally Ipupa - Afsana (Clip Officiel)
پاپ
Lionel Richie, Phil Collins, Air Supply,Bee Gees, Chicago, Rod Stewart - Best Soft Rock 70s,80s,90s
پاپ
Ed Sheeran Greatest Hits Full Album 2022 - Ed Sheeran Best Song Playlist 2022
پاپ
Avicii, Maroon 5, Selena Gomez, Alan Walker, Miley Cyrus, Ellie Goulding ⛅️ Summer Vibes Deep House
پاپ
Chella - My Darling (Official Visualiser)
پاپ
Fally Ipupa - Alliance (Clip Officiel)
پاپ
Fally Ipupa - Mal accompagné (Clip Officiel)
پاپ
MaWhoo, GL Ceejay & Thukuthela - Bengicela feat. Jazzworx (Official Lyric Video)
پاپ
Dilaw - Uhaw | Nobita December Avenue & Ace Banzuelo (Mix)- New Opm Love Songs 2023- Chill OPM Trend
پاپ
Featured Picks
مزید entertainment چاہتے ہیں؟ ہمارے recommended gaming hub اور short-drama destination کو explore کریں۔


