0201833m

Kiduchu Shupavu! | Video-video Kiduchu dari Ubongo Kids

Bahasa inggris

Kiduchu ni msichana wa kipekee! Angalia video zake hapa hapa na Ubongo Kids! Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:

Title overview

Core release details, quality markers, and stream status stay together here instead of floating below the fold.

Bahasa inggris

Tahun

2018

Durasi

33m

IMDb

0

Playback

Start watching now

Release2018
Runtime33m
IMDb0
Tonton Sekarang