7.520233m

Obby Alpha- Bora kushukuru (Official Video) For Skiza dial *837*2692#

Pop

#BoraKushukuru is a Gospel Song Based on thanks giving. Produced by Mixing Doctor Guitar by Andreu Michael kan #BoraKushukuru #ObbyAlpha #obbyalpha Graphics #ApCreativeAgencies Proudly sponsored by #GanjiKindoo #ObbyAlpha #BoraKushukuru #SingWithObbyAlpha Ni Bora Lyrics Verse 1 Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Tabasamu njoo,Nataka nibadiri Wangu mtazamo niishi kitajiri Na wewe maumivu njoo,Nataka nibadiri Wangu msimamo niishi kijasiri, Ile habari ya kulialia Kila siku nakataa (Nakataaa). Na kama nilisainiwa mkataba nafuta aah, Ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (Makucha). Wao walipofanikiwa wakataka kutushusha aah!!! Bridge Nafuta zile why me!! Why me!! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi !! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Chorus Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa. Verse 2 Na nilipo huenda Kuna wengine wanapatamani, Zamani huko nilishakataliwa na watu wa nyumbani, Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata, Wengine huko wamepambana wamekosa kabisa. Kumbe ni Bora kuridhika na hiki, Nilichopata ndio yangu ridhiki, Mungu ni Bora yeye hatabiriki, Amekupa hicho mi amenipa hikii. Bridge Nafuta zile why me!! Why me!! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Nafuta zile why mimi Why mimi !! Sijapata kwanini ? Kwanini ? Najawa ujasiri ujasiri Nitapata na mimi na mimi Chorus Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo, Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo, Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata, Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa.

Title overview

Core release details, quality markers, and stream status stay together here instead of floating below the fold.

Pop

Tahun

2023

Durasi

3m

IMDb

7.5

Playback

Start watching now

Release2023
Runtime3m
IMDb7.5
Tonton Sekarang

Pemeran

Obby Alpha

Singer

Mungkin Anda Juga Suka